Mwamba wa Tanga
Member
- Apr 4, 2024
- 79
- 281
Sawaaa Chunga moyo usipate shambuliziSimba 0 Yanga 4
Qa kushambulia moyo ndio huyo mshanbuliaji wenu machachari kama kacjumbari Ibrahim Doumbia?Sawaaa Chunga moyo usipate shambulizi
Utapata mshtuko wa ghafla baada ya matokeoQa kushambulia moyo ndio huyo mshanbuliaji wenu machachari kama kacjumbari Ibrahim Doumbia?
Yale maneno tuMr. Mangungu mmeshafuata pesa Bank?
Mkuu hii Simba ni Timu katili sanaSimba atapigiwa mpira mwingi sana leo.
Taarifa nimepewa nikiwa eneo la tukio ndo narudi Tanga mjini sshv nishamaliza kaziKuandika kote huku kumbe taarifa zenyewe umefanya kupewa. Lol.
Hivyo aliyekupa hizo taarifa unamuamini?
Pole.Taarifa nimepewa nikiwa eneo la tukio ndo narudi Tanga mjini sshv nishamaliza kazi
Muda ni mwalimu mzuriPole.
Yanga 4-1 SimbaBila kupoteza muda
Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba
Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo
Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo
Nawathibishia Leo Simba anashinda
Ewee shabiki wa Mnyama nenda na matokeo mfukoni huku tushamaliza kazi
Naaam Mimi ndo Mwamba kutoka Tanga hapa
Yanga Leo atakutana na ghadhabu ya 🔥Yanga 4-1 Simba
Leo uhakika Simba anashindaHaya mambo ya ushabiki yalinishinda,
unakaa Kwa matarajio,kinachokuja kutokea ni Cha kuumiza moyo,
KAZI kwenu na simba yenu😁Leo uhakika Simba anashinda
Karibu👏KAZI kwenu na simba yenu😁
Kibendera nipo pembeni natizama mtanange,atakae shinda naruka nae huyo.