Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Mbunge mmoja wa Tanzania alikua akitaliitalii nchi za uarabuni akiwa ameambatana na mke wake... Mwarabu mmoja akamfuata na kumwambia, ''Niko tayari kumnunua mkeo kwa Ngamia 450''
Baada ya kimya kirefu Mbunge akamjibu ''She's not 4 sell''
Mkewe akamuuliza ''Mbona umechelewa kumjibu??''
Mbunge akamwambia, ''Nilikua natafakari jinsi ya kufikisha Ngamia 450 Tanzania''....