Unajua ngamia kule Australia siyo native animal. Kwa sababu yao mazingira yanayofanana na Arabuni waliwachukua hao ngamia kwa ajili ya kufanyia kazi baadae wakagundua wanaweza kuuza Arabuni so wakaanza kufuga na kwa sasa Australia ni muuzaji mkubwa wa nyama ya ngamia duniani na mteja mkuu ni Saudia.
Hao ngamia unaowaona ni wale ambao wenye nao walishindwa kuwatunza wakawaachia waende maporini wakajitatutie chakula(feral). Sasa wamezaliana huko maporini hadi wamekuwa kero. Ndiyo maana wanawaua
Hii siyo mara ya kwanza Australia kuua ngamia. Kuna wakati waliwaua sana miaka ya nyuma hadi jamaa flan wa UAE akaenda huko awanunue lakini hakuweza kuwanunua wote.
Ona hata hapa, mwaka 2015 walilalamika ngamia pori wanasumbua wakulima wakataka wauliwe
Seeing animal as pest due to property damages and resource consumption, some are calling for subsidised slaughters.
www.aljazeera.com