Na tumbaku yake anawasha[emoji23]
Hahahaha!!! Ngabu ana ngabua tumba kuu.Na tumbaku yake anawasha[emoji23]
Jamaa mbona tunaombeana mabaya kwani nimekukosea nini?Utarudi kifungoni
Hawa niwenzetu basi tu
Mimi najiandaa kwenda kupiga katennes kangu. Nashukuru joto limepungua.Shikamoo dada.. Huku sisi ndio kunapambazuka