Mbona ameshashiriki?Neymar kutokushiriki World cup
Brazil can win the world cup without Neymar but not without Silva!!!!
Silva kesho hachezi......unahisi ndio hatutapita?
Mie naamini kombe litabaki Brazil pamoja na kuwa kuna shughuli pevu ya kushinda mchezo wa kesho na final game. Mchezaji atakayemreplace Neymar naye ni mzuri sana. Na motisha waliokuwa nao wa kutaka kulibakisha kombe Brazil utawafanya wacheze kwa ari kubwa sana. Haitakuwa mechi rahisi kesho but let's hope for the best that #TeamBrazil will prevail.

Hapo ndio wasiwasi wangu ulipo, he is the leader of that team holding that defense well. Now considering the Germans are very dangerous offensive team yani kesho lazima Scolari amwambie huyu Marcelo not be caught out of position kama game mbili zilizopita coz you give the kinds of Muller such opportunities, they will punish you hard!!
Wakipita kesho mkuu, kombe ni lao!
Well said.......tutapita tu nani ana mreplace? Maana kuna mtu kaniambia ati amepewe pain killers na strong medication hivo neymar ataweza cheza but najua kanidanganya kunipa moyo tu lol