Ney wa Mitego ni msanii anayejua kukwepa sana mishale

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,449
25,359
Ney wa mitego ni msanii ambaye anajua sana kukwepa maswali ya kimtegotego

Nimekuwa nikimfatilia kwenye interviews nyingi jinsi anavyoulizwa maswali na anavyojibu ,aisee huyu bwana mdogo yupo vizuri sana ,mfano mzuri kwenye kipindi cha the weekend chat show cha akina Suddy Brown na mwenzake Qwissar kila wakimtupia mshale jamaa anakwepa tena kirahisi sana ,I wish wasanii wengi wangekuwa na uwezo mkubwa wa kujibu maswali kama huyu

Alinifurahisha zaidi kuhusu tuhuma inayomkabili kuhusu mtoto aliyemtelekeza kwa Sister Fey jamaa akawajibu kama kuna mwanamke mwingine yeyote ana mtoto na akashindwa kumlea basi ampelekee yeye atalea

Vipi wakuu mnasemaje kuhusu hili?
 
Alinifurahisha zaidi kuhusu tuhuma inayomkabili kuhusu mtoto aliyemtelekeza kwa Sister Fey jamaa akawajibu kama kuna mwanamke mwingine yeyote ana mtoto na akashindwa kumlea basi ampelekee yeye atalea

Sidhani kama kukwepa swali kunabatilisha ukweli. Swali sahihi linahitaji jibu sahihi.
Ok,ni mawazo tu kama yalivyo yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom