Ney wa Mitego, atangaza kuanzisha kanisa

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Akiongea kupitia Radio One, Kijana huyu amesema ameshaanza ujenzi wa kanisa hilo ambalo moja ya taratibu zake ni waumini kutotoa sadaka. Ni kuabudu tu!

Kweli, Nyakati za mwisho wengi wataangamia na wengi pia wataokolewa.
 
Back
Top Bottom