screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,848
- 15,838
Ney wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani?
Labda aniambie kazipata kwa njia nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho.
Labda aniambie kazipata kwa njia nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho.