Next week: Ukweni for the first time

Halafu ukute wakwe hawana complications aisee hata ukiwa nervous unaweza ku-relax kidogo.
 
Halafu ukute wakwe hawana complications aisee hata ukiwa nervous unaweza ku-relax kidogo.

Hapo sasa... BUT it is good yuko nervous kidogo, mana nazo confidence zikizidi... mmmh!!
 
Karibu kijana usiogope jiandae vya kutosha..maana utagharamikia mengi....Aaaahhh usiogope nimekutisha tu,nitakutetea maana u mpole na hauna makuu!!
 
Usisahau suti kaka, but all the best!
 
Hapo sasa... BUT it is good yuko nervous kidogo, mana nazo confidence zikizidi... mmmh!!

Unanikumbusha tangazo la jamaa anayejiamini na GX100 yake kumbe wakwe makomplikesheni kibao! But i hope Bramo will be happy at the end.
 
Unanikumbusha tangazo la jamaa anayejiamini na GX100 yake kumbe wakwe makomplikesheni kibao! But i hope Bramo will be happy at the end.

Wale Wakwe wezi tu! lol... BTW i Love that car, naona vijana weengi Dar ndio mtindo....
 
Wale Wakwe wezi tu! lol... BTW i Love that car, naona vijana weengi Dar ndio mtindo....

Wanawafanya watoto wao ni mitaji.... sometimes wana-boa hasa wajomba!
 
All the best, kama ni mikoa na kaskazini kuna baridi sana, angalia usije patwa na ngiri ukakosa mchumba bure, soma nyakati ndugu.
 
Mi najua dawa ya jambo lolote ni kujiamini!Unapojiamini hata unaekutana nae atajua huyu ni mtu kamili,vaa vile unavyoona ni sawa!I mean kawaida,usijali watakavyokuona kwan is none of your bussines kwani huwezi mtu kufikiri,cha kuzingatia uvae kama nguo husika zinavyotakiwa!
 
Awwww Bramo you will just be fine.....how i wish one day na mie nimpeleke mtu kwetu nimtambulishe......you only need to relax and try as much as possible to be yourself that day. Goodluck buddy
JS what are you waiting for???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…