Next Week: Prof Kikwete, kuvunja baraza la mawziri

Next Week: Prof Kikwete, kuvunja baraza la mawziri

Pdidy huyu ni kichwa......ndio maana sipuuzi taarifa yake......

Safimpwa Nimeona arudi ten a ikabidi nimtakatishe kama fedha za ESCROW
Nahisi anamalizia ya Mwisho

Sty tuned
 
Last edited by a moderator:
wewe kwa magamba hakuna mtu hapo,baraza limevunjwa na malekebisho yamefanyika lakini hakuna msafi..kenge ni kenge tu.wote ni magamba hii serikali.
 
WATANZANIA tuwe na akili kama nyoka,kwa sirikali hii hakuna kitu..wezi wengi tusitegemee makubwa.
 
Ameeamua kulivunja halafu asubiri mpaka next week .................. hakuna kitu kama hicho. Labda kitakachofanyika ni mabadiliko kwenye baraza!!

Possibly, atakuwa anasubiri uchaguzi wa serikali za mitaa upite!
 
Uko bombaa n smart upstairs ... Thank you kwa kutoa elimu nzuri ....
rekebisha andika kulisuka.......au ungetumia neno kupanga upya.........hakuna neno kwenye kiswahili.......kurisuka..........
 
sisi kina gogo la shamba tunaendelea kuesabu mpaka sasa zimebaki siku mbili tu,tulizompa
 
Watu watakaa hotelini mpaka baada ya uchaguzi.
 
Amini usiamini, hatimae rais wetu wa Tanzania, ameamua kuvunja baraza lake la Mawaziri. stay tuned

Duh! Mbona Kila Anayechaguliwa Kashfa, Hawajaisha Tu Wa Kufil Nafasi Hizo? Awamu Hii Hata Capt Komba Atakua Waziri.
 
Nashangaa viongozi waliotajwa kwenye kashfa wanasubiri hadi rais atengue uteuzi wao, walipaswa kuwajibika wenyewe kama alivyofanya Kagasheki na bunge likampongeza kuonyesha mfano kwa wasiojua maana ya kuwajibika. Yaani nilitarajia watajiongeza lakin wap, madaraka matamu!
 
Back
Top Bottom