Sir Good
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 1,031
- 413
Ameamua!Hamin - Amini.
Husiamini - Usiamini.
Hatimae - Hatimaye.
Rais - Raisi.
Hameamua - Ameanua.
Stay tune - Stay tuned..
Ameamua!Hamin - Amini.
Husiamini - Usiamini.
Hatimae - Hatimaye.
Rais - Raisi.
Hameamua - Ameanua.
Stay tune - Stay tuned..
Kurisuka?.Next Week: Prof Kikwete, kurisuka mpya baraza lake la mawaziri, stay tune.
Kuvunja baraza la mawaziri kila mwaka sio suluhisho, tatizo ni yeye, hajaligundua hilo?! Kweli ni Prof wa kichinaAmini usiamini, hatimae rais wetu wa Tanzania, ameamua kuvunja baraza lake la Mawaziri. stay tune..
Hamini - Amini.
Husiamini - Usiamini.
Rais - Raisi.
Hatimae - Hatimaye.
Stay tune - Stay tuned.
Hamin - Amini.
Husiamini - Usiamini.
Hatimae - Hatimaye.
Rais - Raisi.
Hameamua - Ameanua.
Stay tune - Stay tuned..
Mother tongue imemuathili. Atakuwa from Kagera
Amini usiamini, hatimae rais wetu wa Tanzania, ameamua kuvunja baraza lake la Mawaziri. stay tune..
Siku hizi tetesi zinabandikwa kwenye notice board huko Ikulu?Amini usiamini, hatimae rais wetu wa Tanzania, ameamua kuvunja baraza lake la Mawaziri. stay tune..
Uko sahihi mkuu, nakumbuka kuna mlevi mmoja kwetu alikua na kawaida ya kupiga kelele akifika maeneo fulani wakati anarudi kwake.Hahahaha......kuna uandishi mwingine lengo ni kupunguza attention ya viwavi kwa kuipuuza lakini taarifa unakuta ni kweli tupu......hizi swaga anazijua Pdidy .....unaweza kuandika statementi ya kipuuzi na uandishi mbovu lakini katikati yake kunakuwa na sentensi iliyokusudiwa.....hapo wanaogundua ni wachache sana.......
Hao 'vigagula' neema ya Escrow inaelekea kuwashukia.Ndio maana leo nimeona gari za manaibu waziri kibao zikielekea BAGAMOYO
KAMA NAWAONA WALEWAZEE WETU WANAVYOKULA MEEMA YA NCHI
Hamin - Amini.
Husiamini - Usiamini.
Hatimae - Hatimaye.
Rais - Raisi.
Hameamua - Ameanua.
Stay tune - Stay tuned..
Mkuu mtazamo
Mtake radhi muandiishi akuna mpuuzi anaeandika y Jf Unless wanaosoma na kucomment. Nao ni wapuuzi...wapowahusika wakurekebisha usipoelewa mtu jf unaweza kuni..
Cc Pdidy