Next SA President: Conflicts in ANC & Zuma's Controversy

Rais awe kati ya Cyril Ramaphosa au Tokyo Sexwale, Zuma is just too crude for Government House.
 
Jokaa kuu, PM na wengine, hizi siasa na analysis za kisomi ndo zimetuacha waafrika tukiendelea kuwa maskini wakati wachache wakineemeka. Sasa kama Mbeki ameshindwa kuwasaidia wananchi walio wengi, hiyo intellectualism ya uchumi ina maana gani? kwamba Zuma hatasimamia uchumi kiumakini kama Mbeki? give me a break! Huo uchumi Mbeki aliousimamia kwa umakini umemnufaisha nani? kama sio "wale wale" au na nyinyi mmeshaingia kwenye ule mkumbo wa statistics na misifa ya world bank? kwamba ukisifiwa na world bank..wewe basi ni kinara!!

wananchi wameshachoka! sasa wanangalia kiongozi atakayewajali na siyo yule anayepata sifa za duniani wakati wao wananchi wanapukutika kwa umaskini!

Na I can assure you kama "wasafi" akina Mbeki hawawezi kuwakomboa wananchi, basi watu wata-raly behind kwa "wachafu" akina Zuma wenye nia ya kuwakomboa. You say JZ is compromised. Perhaps, lakini wale walio clean wamefanya nini? zaidi ya elites kuendelea kuwa matajri na maskini kuwa maskini?

African politics inatatizo moja, always tunaamini kuwa kiongozi bora, lazima legitimacy yake itoke kwa wakubwa huko ulaya ambayo unfortunately priorities zao na za kwetu ni tafauti sana!

Zuma might be compromised in the eyes of the elites, lakini wananchi wameamua kwamba huyu ndo anamwelekeo wa kutupeleka canaan ya asali, na ngoja Mbeki afanye ujinga wa kumnyanyasa JZ na hizo kesi zisizoisha, SA haitatawalika! And he knows it better! Forget akina Cyril na Tokyo, wananchi wameamua ni Jacob Zuma! the rest ni wishful thinking za wasomi na elites wengine!!. Go Zuma, Gooooo!!!!!!!!!!!!!
 
Kama alivyosema askofu Tutu,wote hawafai! Mmoja anadhani unaweza kuponya ukimwi kwa vitunguu swaumu (o.k. alisema waziri wake lakini yeye hakukanusha)na mwingine kuwa ukioga chapchap baada ya kukutana kimwili na mwenye ukimwi utasave! Lord have mercy. South Africans deserve better. Hapa naona Mandiba anataka kuokoa jahazi. Atasema nini wakati uma ushaamua? Amtetee Mbeki na kuongeza uwezekano wa ANC kugawanyika? Hana choice kwenye hili. Pragmatism tupu. Lakini bado, Lord have mercy.
 



In December, Jacob Zuma defeated President Thabo Mbeki in the contest to lead South Africa's ruling ANC.
 
Profile: Nelson Mandela


Jacob Zuma


Bondeni kuna kazi kubwa sana na tutaona mengi kabla ya uchaguzi na yale machafuko ya mwaka 1994 kule Kwazulu-Natal na mauaji kwenye makao makuu ya ANC yanaweza kujirudi.
 
Ndugu wana bodi, naombeni mmsikilize huyu jamaa anitwa Jakob Zuma, mimi nimemsikiliza na kwa mara ya kwanza ktk miaka 26 yote niliyoishi ktk dunia hii sijawahi kusikia au kumsoma kiongozi wa kiafrika (asilia) mwenye uzalendo kama huyu jamaa, Jakob Zuma na sasa naamini ni kwa nini maadui wa afrika hawampendi na wanampaka matope kwa maana hiyo linki niliyoiona siwezi kuamini kama huyu jamaa anaweza kuwageuka waafrika na sasa NAAMINI KUWA MWAKA WA AFRIKA UMEFIKA NA UTABIRI WANGU UMETIMIA HUYU JAMAA ATAKUA RAISI NA HILO WIMBI MWISHOWE LITAFIKIA PWANI YA TANZANIA YETU......
[media]http://youtube.com/watch?v=Ae-Pe0HBKsM[/media]
 
Heshima mbele.
Maneno ya Zuma yanauma sana, anaongea ukweli unaogusa hisia za wengi wenye kuitakia mema Afrika. Ukiangalia uchumi wa nchi kama Luxembourg na Switzerland unaendeshwa kwa pesa za wizi, hasa nyingi zikiwa toka kwa mafisadi wa Afrika. Mantiki anayoileta hapa Zuma, kama nimemwelewa vyema, ni kwamba kwa nini pesa hizi zisibaki nyumbani na kuendeleza bara letu badala ya kuendeleza ughaibuni? Hili ni suala muhimu sana, ingawa kama ulivyosema sio viongozi wengi wa Afrika wako tayari kumuunga mkono, kwa sababu ndio wanaokimbiza pesa hizi.
Hali kadhalika nampongeza sana kiongozi Zuma kwa kuwakumbusha "Wakimbizi wa Kiuchumi" kwamba pamoja na kwamba wako nchi zisizo zao, lazima wakumbuke kwao kwa kuwekeza katika elimu, biashara na teknolojia. huu ni ujumbe muhimu sana, nadhani wengi inatakiwa tuuzingatie.
Nadhani atashinda uchaguzi mwakani, tumtakie kila lililo jema!
 
Watch Me, Says Winnie

 
'I am going to return the ANC to its former glory by 2009. Watch me.'
 
Source: GuardianUnlimited.

--Je, hawa ni fahali wawili wengine?
--Any lessons?


SteveD.
 
La msingi hapa ni je mulungula alichukua?

Kama alichukua sheria ichukue mkondo wake, siye kwamba wafiche kwa vile tu kawa mwenyekiti wa chama tawala!
 
We expected this long time!

Ila Zuma pia atashinda na itampandisha sana chart SA.

Hizi sii tuhuma mpya! Ataruka tu hiki kiunzi!
 
We expected this long time!

Ila Zuma pia atashinda na itampandisha sana chart SA.

Hizi sii tuhuma mpya! Ataruka tu hiki kiunzi!

Politics ni mchezo wa ajabu sana. Inaweza kumpandisha na vile vile inaweza kuwapa wapinzani wake mpenyo wa kumchafulia. Coming at this time one wonders whether it is a strategy or just a normal course of events
 
Labda wafanye marathon kwenye hii kesi ikianza vinginevyo inaweza kuingilia wakati wa uchaguzi wa rais.
 
Nimeona habari ya Zumma na Mahakama nikajiuliza kama kitu kama hiki kimetokea SA kama kinaweza kutokea Tanzania .Hebu kwa mwemdo wa Zumma kuwa Rais wa Chama tawala SA kwa Tanzania angaliweza kuguswa hapa Tanzania ?
 
Sikuelewa kwa nini wamesogeza mbele tarehe ya mashtaka hadi eto mwezi wa August mwaka 2008. Je ni kutaka kutoa nafasi kwa Zuma kuvuruga kesi au kutaka kuendesha kesi hiyo mahakamani hadi ifikapo wakati wa uchaguzi wa Rais kusudi Zuma asigombee kutokana na kuwa na kesi mahakamani.
 


Kesi zimepangana hiyo ndiyo tarehe ambayo haina kesi. (Kesi zipo nyingi sana Mkuu)Ndio sababu nikasema labda waipendelee ili iende haraka lakini hilo haliwezekani kwa sababu ya kesi nyingine ambazo zimetangulia ya kwake. Justice delayed ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…