Next Generation...

arumeru mashariki hiyo pinokyo.......... weka na zile picha za mvuta bangi weni na masikio yake yaliyotobolewa!!!!!!!!!!!
 
Wavuta bangi wa Arusha wanafahamika na wanaonekana na magwanda yao!
 
arachugaaa is ma home city...najivuniaaa kuzaliwaaa chugaaaaa,mamongooo ma chali wa araaa,haitajiki gold kuwekaa bling bling kwenyeee menooo we born original ODB
 
This is great! Napenda watu kama nyie mlio proud of your home places!
 
arachugaaa is ma home city...najivuniaaa kuzaliwaaa chugaaaaa,mamongooo ma chali wa araaa,haitajiki gold kuwekaa bling bling kwenyeee menooo we born original ODB

Pamoko sana Arifu.
Nakuona na kitu cha Chugga kwenye avatar!
 
jamani mbona wana meno sawa wote

Wanatoka kwenye eneo ambalo maji yana madini ya fluoride kwa wingi. Ni watoto wa shule, wako kwenye chumba cha darasa na tangu shule hiyo kufunguliwa majengo ya shule hayajapigwa rangi au kufanyiwa maintanance ya aina yoyote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…