technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Kampandisha kuwa nani ?..
Lolote linawezekana
ndio ataanza kuona wazi wazi mipasukoLolote linawezekana
hadi ya bonge la baba kuzama ikuluKitunza siri mkuu, anaona mengi huko....🤣
Kama sada tayari imo, and its just a begginingndio ataanza kuona wazi wazi mipasuko
Vyeo huwa vinapanda kwa matakwa ya Mtu au Sheria na Taratibu.. ?
na ndio kitawasha motoHongera yake sana. Japo hawafati kanuni
Yaani bonge linatuona watanzania wote kama watoto wake wa kufia vile dadeq zake.hadi ya bonge la baba kuzama ikulu
Kwa jeshi letu la sasa hata shilole anaweza kuwa CDF
🤣😭Kwa jeshi letu la sasa hata shilole anaweza kuwa CDF
Sio maadui tu, mfumo wenyewe unakataaa.. Mfumo utamuogopaAwe makini tu, Kwa umri wake namwona bado ana kama miaka 13 hivi kabla hajastaafu
Ukiwa unapanda vyeo Kwa Kasi namna hii, hachelewi kupata maadui