Next CDF? Something she is cooking

Next CDF? Something she is cooking

Unaongelea sheria na tratibu tanzania, Tanzania haina sheria na taratibu inajiendea tu kutokana na matakwa ya mkuu wa nchi
Mi ninavyojua Vyeo huwa vinapanda Kulingana na Taratibu fulani au Kukaa Kwenye Cheo cha Chini kwa Muda Fulani.. Kila Mtumishi sekta Yeyote akikaa muda fulani huwa anapandishwa Cheo, sema Huyo ni Maarufu tu na Ni mpambe ila Wengine Pia Wamepanda
 
Back
Top Bottom