Next CDF? Something she is cooking

Next CDF? Something she is cooking

Mwanzoni alikuwa ni Kanali Nyamburi Mashauri na sasa ni Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri
 
Serious ni janga kwa jicho la tatu linatengenezwa ambalo hakuna atakayeweza kuliweka sawa,itabaki kulaumiana na historia itawahukumu waliosababishwa,yangu macho tu
 
Unakumbuka enzi za JPM na Marehemu Mbuge ambaye alikuwa anamwandaa awe CDF?

Iwapo litatokea lolote juu ya Uongozi wa Mama Samia, naye anaweza kupitia aliyopitia Marehemu Mbuge
Umeshuhudia battle nyingi sana Toka Enzi za kina abdullyskys na nyererere.

Mimi nani ni tie neno
 
Unakumbuka enzi za JPM na Marehemu Mbuge ambaye alikuwa anamwandaa awe CDF?

Iwapo litatokea lolote juu ya Uongozi wa Mama Samia, naye anaweza kupitia aliyopitia Marehemu Mbuge
Bana, inchi ikiwa inakwenda kwa matakwa ya mtu binafsi kuna mambo mengi sana huweza tokea mazuri na mabaya pia
 
NImekurupuka zangu usingizini nikadhani CDF mwisho ni colonel,kumbe mmeshafika Mej general na sijui🤣🤣🤣.
 
Yaanii Kagame anatucheka mnoooo past 20yrs anatujua vzr Sanaa tangu huyo check bob JK....akishamuonya mara kadhaaaa
 
Yaanii Kagame anatucheka mnoooo past 20yrs anatujua vzr Sanaa tangu huyo check bob JK....akishamuonya mara kadhaaaa
Inahusiana nini mambo ya Kagame na uzi? Kwani wewe ni Mtutsi?
 
Back
Top Bottom