Newton ni noma.{kwa watakaoelewa}.

Newton ni noma.{kwa watakaoelewa}.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
[Newston's girlfriend];Baby,How do i look today? [Newton];You look (TAN C/SIN C).>>> [Newton's girlfriend];Whaaat!?>>> [Newton];I mean SIN C/{COS C*SIN C}=SEC C.
 
Wrong arithmetics!
Tan C/SIN c = sin C/{COS c*sin C} =TANc*Cosec C!!!
 
TanC/SinC=SinC/{CosCxSinC},simplify hapo utapata 1/Cos C which is equal to Sec C,unless you are here simply to criticize.
 
tan c/ sin c inakupa sin c / cos c * sin c ambaye very simple hizo sin c zinakatika itatoa 1/cos c
 
Kilengesa kigumu sawa,hata hesabu za form ii zinawashinda? Kata oyeeeeeeee
 
1/cos C ts cosec C na 1/sin C ndio Sec C if my memo ipo njema.
 
dah, yani hesabu ndogo hivo zinawasumbua? mtoa mada yupo sahihi kwamba jibu ni sec C. hapo hamna ubishi.
 
Daah! Sikudhani kama ingezua mjadala mrefu kiasi hiki.
 
1/cos C ts cosec C na 1/sin C ndio Sec C if my memo ipo njema.
Mkuu 1/sin sio Sec C ni Cosec C,toka nipo shule watu kibao walikuwa wanawianisha Cos kwa cosec na sin kwa sec kitu ambacho si kweli,utakuwa umenielewa kama ulisoma advanced pure mathematics.
 
tan c/ sin c inakupa sin c / cos c * sin c ambaye very simple hizo sin c zinakatika itatoa 1/cos c

Sasa hiyo ndio dose mpya ya Malaria kwa hapa Tanzania kwa Sekunde au ni nini??

Maana naona wote mnafupisha kama Madaktari wetu; Tanzania mnaandika tan, sekunde mnaandika sec, alafu wote mmekosea maana hiyo temperature mnaandika C peke yake bila kile kisifuri kwa juu. Acheni kutuzingua hata na sie tunafaham maandishi ya kidaktari msitubabaishe na MOI yenu haaaa....!
 
Umeua mkuu.
 
mkuu temperature kwenye log hapo umetulamba
 
Back
Top Bottom