mchana
Yametoka leo mchana ndugu.
Sawa ndugu, ila mimi kila nikijaribu kuingia kweny website ya chuo haifunguk leo tangu mchana... Ngoja tusubir tuone na kesho... Ahsante kwa taarifa ndugu.
Mbona inafunguka sema jina na kozi nkuangalizie
Miraj Yusuf mkamba, Bachelor of education in psychology
jina benedicto domician coz guidance & councelling
Umechaguliwa mkuu
jaman naomben msaada nina mdogo wangu alichaguliwa batch ya 3 udom lkn ktk majina yaliyotoka hayupo hiyo inamaanisha amekosa nafasi au ni vp maana hatuelew, msaada tafadhali
Umechaguliwa mkuu,Jina lako lipo.