Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.

Uko mkoa gani?
Faiza Mbona sijaona hicho kitu chako ulichosema?
Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
Wewe bibi kweli ni mchawi unatufanya watu wazima tunaonekana ni vichaa nimetoka nakimbia nikamgoga na mtoto kisha uchawi wako.
Kama ni kitu chake ni ngumu kukiona!!!
Nisome vizuri.
Wewe upo Shunyanga mambo yapo Dar. usitake kuanzisha vituko saa hizi.