kiwango godi
Member
- Oct 26, 2018
- 45
- 9
Jamn Nina kuku wangu niliwakawiza kuwapa chanjo ya Newcastle na sasa wameshakua be affect nifanyeje
Wape alafu rudia tena kila baada ya miezi mitatu




kwenye kubeti usije kurudia tens kuwapa Newcastle direct win mkuu utaendelea kuliwa daily
Wape sasa chanjo na baada ya wiki wape gombolo!Jamn Nina kuku wangu niliwakawiza kuwapa chanjo ya Newcastle na sasa wameshakua be affect nifanyeje
Jamn Nina kuku wangu niliwakawiza kuwapa chanjo ya Newcastle na sasa wameshakua be affect nifanyeje
Ndio. Na kasha dead1Unamaanisha wameshaanza dalili za kideri??
Kama yote dingiNimekuja mbio nikajua una matokeo mfukoni
Jomonii mbona wengine wananiambia nikiwapa chanjo itakua sumu kwao watakufa woteWape sasa chanjo na baada ya wiki wape gombolo!
Ndio. Na kasha dead1
Yeaphivi newcastle kwa kiswahili ndio kideri?
Ka miezi3 iviAisee.. wana umri gani??
Yaan hapo ukiwapa chanjo ndo kama unawasaidia wafe haraka màana tayari hawana nguvu
Ka miezi3 ivi