Newcastle

Newcastle

Sawa teacher[emoji847][emoji847][emoji847]
Unaposema wameshakua be affect unamaana gani? Au wamekwisha kuwa affected?
Kua - ageing.
Kuwa - be.
Kipi kati ya hivyo viwili, achana na kiingereza unapotafuta msaada.
 
Ndio kijan pia wanaharisha
Hiyo ni kideri hapo unatakiwa kuwanywesha V-RID Ili vimelea/ kustopisha Mgonjwa olafu ndio uwape Dawa yupo dogo fani TDM anachanganya Dawa na hiyo wanapona kabisa

Mimi najua ya kieyeji ila kwa sasa ni ngumu kuipata ukame tatizo,pia kuna mtu aliniambia majivu yanasaidia jaribu nayo.
Unachukua kiasi unatia Maji unawanyesha
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asante
Hiyo ni kideri hapo unatakiwa kuwanywesha V-RID Ili vimelea/ kustopisha Mgonjwa olafu ndio uwape Dawa yupo dogo fani TDM anachanganya Dawa na hiyo wanapona kabisa

Mimi najua ya kieyeji ila kwa sasa ni ngumu kuipata ukame tatizo,pia kuna mtu aliniambia majivu yanasaidia jaribu nayo.
Unachukua kiasi unatia Maji unawanyesha
 
Nilishawahi kufanya ujinga huo nilikula kuku kila simu kila nikiamka kuku kafa wengine walikuwa wanakufa usiku ,sawa ya magonjwa hayo yote ni usafi wa banda na ufugaji wa ndani basiii nizo sumu ni hatariii bora uwape kitungu swaumu na jani LA alovera
 
Back
Top Bottom