Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Mi sijawahi fika huko lakini niliwahi kumsikia JK akisema kuwa Kigamboni by 2020 itakuwa kama New York, ni kweli alimaanisha NY hii hii au kuna nyingine aliyomaanisha!?
Yule nae unamuamini? Anazurula lakini hajifunziMi sijawahi fika huko lakini niliwahi kumsikia JK akisema kuwa Kigamboni by 2020 itakuwa kama New York, ni kweli alimaanisha NY hii hii au kuna nyingine aliyomaanisha!?
Bila shaka hapo ndiyo Washington Dc
hapo ni washingtone sio new york,dar ni kijiji kikubwa
hahaha!! wacheni hizo, hiyo ni Manhattan, NYC. mpaka Central Park inaonekana clear kabisa halafu mnasema ni DC!!