Hukumuelewa Putin kwa akili yako
Umeamua kukubali akili ya Carl Bildt
Putin anatoa onyo kwamba dunia iwe makini na USA kwenye ishu ya Greenland.Kakumbusha historia kuwa hawakuanza jana kuitaka Greenland.
Akakumbusha kosa walilofanya hadi Alaska ikanunuliwa na Marekani.
Putin haihitaji justification ya Greenland.
Historia inaonesha Marekani aliipora kijeshi mikoa ya Mexico(California,Texas) na kuifanya mikoa yao.
Wameanza tena,wanaitaka Canada,Gaza,Greenland na Panama..
Hawa ni majambazi sugu
Russia anerudisha maeneo yake yaliyoporwa 1991