new trick ya kudisable all usb ports | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

new trick ya kudisable all usb ports

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Zasasule, Sep 24, 2010.

 1. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  nenda kwenye start,click run na andika regedit
  baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR


  kwenye usbstor badilisha value data.badala ya 3 andika 4.
  kazi imeisha.usbport zote za copmuter zimekuwa disabled.

  ukitaka kurudisha ili ziweze kusoma
  nenda kwenye start,click run na andika regedit
  baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR

  kwenye usbstor rudisha value ile ile 4 badala ya tatu
  hapo sasa all port za usb zitakuwa zinafanya kazi.  for english

  gO TO --> START --> RUN

  NOW TYPE REGEDIT


  NOW LOOK FOR THE KEY :
  HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR  NOW FIND THE KEY THERE CALLED :-
  "Start"
  DOUBLE CLICK ON IT.
  NOW CHANGE THE VALUE DATA 3 --> 4
  YOU HAVE DONE IT
  NOW CLOSE THE REGISTRY AND YOU'LL SEE THE RESULT.
  YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE DISABLED


  TO RE-ENABLE/UNBLOCK USB PORTS JUST CHANGE THE VALUE DATA AGAIN 4 --> 3
  NOW YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE RE-ENABLED.   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu ukifanya hivyo si utajikuta una disable na mouse keyboard na mwishoe ukashindwa kuitumia Mashine yako? Mimi kuna option mmoja ambayo niliisoma hapo nyuma naona ndiyo nzuri saidi kuliko hii, hiyo inakupa option ya kudisable port moja moja ambayo unataka kuzi disable.
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  option ipi hiyoo?
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  :confused2:
  Duh! mkuu hii triki ina faida yoyote kweli? unadisable usb zote?????? Hakyamungu wadau msifanye hii kama hauna uhakika na unachokifanya, hasa kama hauna ps2 mouse or keyboard-walah unaweza usifanye kazi siku nzima!:becky::becky:
   
 5. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  yeah this is specific for ps2 keyboard and mouse
   
 6. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Why would anyone want to disable USB ports?
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi hili hufanyika katika corporate environment, hususan kwa sababu ya security. Kama kampuni haitaki wafanyakazi wake waweze kuchukua data kutoka kompyuta zao za kazini kwa kutumia USB, au kama kampuni inaogopa kwamba wafanyakazi wataleta virus na security threats nyingine kwa njia ya USB.

  Kwenye kompyuta za nyumbani umuhimu wa hiki kitu unaweza kuwa mdogo.
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hiyo ni njia iliyokuwa ikipendwa na IT admins kwenye corporate environment... a while ago kwenye ulimwengu wa data theft na protection ya janga hilo. Lakini kwa sasa njia hiyo si makini tena, policy na measures nyingine kwenye network (permissions) are more favorable. Kwani as long as mtu yuko kwenye physical terminal na mtu huyu akawa na access na data fulani ambayo iko downloadable to usb flash disk, then mtu huyo atakuwa na uhuru wa kuweza ku-disable au ku-enable ports simply by plugging in a ROMed usb drive yenye micro ya kuweza kufanya hivyo. Ukumbuke usb drive nowadays are not simply for flat storage of data but can contain and more often, run sophisticated stuffs to do just that. Nasema hivyo kwani, kwa mtu ambaye anataka kujiingiza kwenye corporate espionage, the likelihood ni kwamba mpaka anaamua kuiba hizo data tayari atakuwa amefahamu access level aliyonayo kwenye terminal zake. So the measure above to me would simply be some sort of trickery adventure in an office environment to p*ss off some unsuspecting colleagues and see how many calls they make to the IT desk!! :)
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Your right kiranga

  But kuna challenge zaidi sababu nowadays USB ports are not for storage accessories only Hata device kama Mouse , Keyboard na printer zinakuwa na USB
  Na vifaa vingine kama mobile phones , digital camera, zinahitaji acess ya USB port.

  Electronic Information security ni very challenging. maana kam mfanyakazi na acess na information anaweza kuzicopy na kuzituma kwenye email yake. Akaenda cafe kuzichuka kwa hiyo USB.

  Na tatizo linakuw kubwa kulikabili kama threat inakuwa from within the corporate
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  najua kuna watu still wantumia ps2 mouse.so this would be usefull to some people.i just thought it is better to share knowledge,
  i believe the more you share the more you gain
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,307
  Trophy Points: 280
  Computer zote zinazotumika maofisi yote ya ubalozi ziko disabled, hata CD rom hivyo zinaweza kupokea tuu data through mitandao yao safe, ili kuhakikisha hakuna kitu inatoka nje!.
   
Loading...