New tigo unlimited package

New tigo unlimited package

Unlimited voda hii ambayo ilikuwa 40,000 now 20,000. Unataka kuniambia ni 35 GB full speed siku hizi?

Ndo IT Guru amesema hivyo.. mi nilidhani umepinga kwa sababu ulishaitumia.

Mi nakubaliana na IT maana Tigo huwa wanaiga sana voda wanachokifanya... Pili haileti maana yeyote kuwa Kwa mwezi unapata GB hizo ulizosema . Wakati kwa siku unapata GB 1 unlimited kwa vifurushi vingine.
 
Voda ni noma kwakweli,ikifikaga wikend kama hivi najiungaga na kifurushi cha buku unlimited asubuhi then nawaachia wadogo zangu computer.Nikirudi jion nawakuta wanaendelea kula mziki utube/kucheki muvi online.Voda wanamaanisha kweli,tigo nawakubali kwenye mambo mengine but net yao huwa ya kichovu.But ntaijaribu nione km inafikia mziki wa voda
 
mwez uliopita nlijiunga cha mwez unlimited 19000, kumbe uongo mtupu wanakupa Gb 2 kudownload baada ya hapo ni kubrowse tu, tena baadh ya website hahikubal af nmetumia kwa cku 15 tu
 
Nimejiunga ya wiki hadi najuta. Hakuna spidi inayosemwa
 
Voda ya mwezi ni GB kati ya 3 na 5 sijanunua muda kidogo. Naenda kutafuta SIM ya Tigo kama hiyo 10GB kwa wiki ni kweli!

Kwanini ununuwe ya mwezi? Nunua kila siku 1GB kwa sh 1000, kwahiyo kwa mwezi utapata GB 30 kwa elfu 30 (elfu 1 kila siku)
 
nime ionja na mpaka sasa imethibika kuwa na utamu, ngoja tuone kama utamu utaendelea mpaka mwisho, kama walivyo ahidi
Screenshot_2014-06-07-16-50-20.png
 
Airtel yatosha wajamen....kwa sh 900 tu niliweka unlimited ya siku nikashusha 5gb
 
kuna ya tigo tsh 200 unapewa Gb 1 kisha unaweza kujiunga kwa tsh 100 mb 200 (zote kwa lisaa) ukiunga vingi vingi raha sana...
 
tigo wanazingua internet yao n mwendo wa kobe kama unataka kupoteza muda jaribu.:flypig:
 
tigo wako hovyo kabisa kwenye spidi yao............3g my foot hovyo kabisa. Nimeweka ya mwezi (35 gb ) nimetumia kama 20 gb vyema, hizo 15 zilizobakia zimekuwa kama konokono mwisho kb 10 per sec
 
Back
Top Bottom