New tigo unlimited package

New tigo unlimited package

bigboi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
1,524
Reaction score
4,760
NIMEONA KWENYE MENU YA TIGO WAMEANZISHA NAO UNLIMITED PACKAGE VIFURUSHI VYAO VIPO HIVI

1 Day Unlimited = 999Tsh 2 Week Unlimited = 6000Tsh
3 Month Unlimited = 20,000Tsh
4 3 Nights Unlimited = 1000Tsh


KWA ALIYETUMIA VIP NI UNLIMITED KWELI AU MAMBO YA GB 1 IKIISHA SPEED KOBE?
 
Wameandika SPIDI bila KIKOMO. ..Sasa sijui wana maana gani. Nikijaribu nitawajuza
 
Voda wanapiga hela sana na Unlimited yao,naona Tigo wamekumbuka shuka asubuhi kama ni kweli wameleta unlimited
 
Ingia kama unataka kuchagua mojawapo ya hizo options. Utakuta wameandika ya siku unapata 1GB kwa unlimited speed. ya wiki unapata 10GB kwa unlimited speed. ya mwezi 35GB kwa unlimited speed
 
Kwa hiyo ukimaliza gb zako inakata au still unaendelea ku surf kwa speed ndogo mpaka muda wako uishe
 
Ingia kama unataka kuchagua mojawapo ya hizo options. Utakuta wameandika ya siku unapata 1GB kwa unlimited speed. ya wiki unapata 10GB kwa unlimited speed. ya mwezi 35GB kwa unlimited speed

Hivi Vodacom kwenye unlimited ya mwezi wanakupa GB ngapi zenye full speed. ..?? IT Guru
 
Last edited by a moderator:
Voda ya mwezi ni GB kati ya 3 na 5 sijanunua muda kidogo. Naenda kutafuta SIM ya Tigo kama hiyo 10GB kwa wiki ni kweli!

Hii ya UNLIMITED ?? Au wewe unazungumzua ipi Kang
 
Last edited by a moderator:
Hii ya UNLIMITED ?? Au wewe unazungumzua ipi Kang

Unlimited voda hii ambayo ilikuwa 40,000 now 20,000. Unataka kuniambia ni 35 GB full speed siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
Unlimited ya1000 unacheck movie online nakudownload hadimwisho wakifurushi chako tena kwa speed yahatari..no buffing buffing
 
kwamatumiziyangu naona kama nawadhulumu voda maana ni mdawote madogo wanacheck movie,.nakudownload
 
Tigo hawako vzuri,.internet speed yao sijaipenda hasa ukizingatia niko chini ya mnara wao na 3G lakini wap..
 
Back
Top Bottom