Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
Tayari umesharusha. Hii pia ni mpya.
Tuendelee nayo.
Kwahiyo nitoke hapa kaunta ya juu nije nirushe uzi wa "nilikuwa wapi muda wote huu" Omba kibali kwa meneja wa Tusker Malt.Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
Mkeshaji,hawa watu sijui wamekesha wapi,labda masai club kwenye mbadembade khanga moja laki si pesa......wambie waamke bana! ukiwaona wambie nimewanunia na ninalog off,ngoja niwahi uwanja wa fisi kongoro karibu zinaisha.
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
Kuna thread nimerusha jukwaa la dini. Leo nimeshukiwa na roho mtakatifu.
Du,kumbe hilo jukwaa lina mlango na mie ufunguo sina,basi endeleeni,tutakuona ukirudi mmu!
mh! mkwe hii lazma itakua ni 'ROHO MTAKAVITU',machale yananicheza!