new thread

new thread

Kama AfroD ni kijukuu changu, mwanae ntamwitaje? Au hujui umri wa Afro kwa sasa?

Hapo sawa mkuu!
Nilidhani na wewe ni moja ya wale ambao huwa wanachanganya hayo mahusiano niliyoyaeleza.
 
Mr. Mojoki asante kwa kunijuza kuhusu "MMU", sasa tunaweza Kuendelea.
 
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.
Mkuu mbona umewataja wanaume 2 tu au hata hao ni kutoa kesi kuwa unahitaji thread za kina dada tu lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom