New syllabus of acsee/advanced level of form 5 and 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New syllabus of acsee/advanced level of form 5 and 6

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jericho Jr., Feb 20, 2012.

 1. J

  Jericho Jr. Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndugu zangu wa JF naomba yeyote ana taarifa wapi naweza kupata syllabus ya masomo ya PCB au kama mwenye kujua link yenye kuipata naomba anisaidie.Naombeni sana dada na kaka zangu mwenye kuipata taarifa hii amjulishe na mwingine.​thans all
   
 2. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Nyie form 5 mnamambo,lol!!kwani mtaani kwenu hakuna watu wanaosoma??Wizara haina utaratibu wa kuweka syllabus online.Waulize marafiki waliomaliza mwaka huu kwani hyo syllabus mpya imeanza kutumika 2009 na memba wengi humu wamekula chumvi nyingi.
   
Loading...