New 'super yacht' rivals Roman Abramovich's Eclipse

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Roman Abramovich’s hopes of staying top of the yachts league are under threat
article-1294779431615-0CB75F1B000005DC-987858_636x300.jpg

Wave of luxury: the super-yacht Steets of Monaco contains many features associated with the playboys' playground, includingthe famous casino.
 
Kweli duniani kuna gap kubwa sana kati ya matajiri na masikini, halafu siku ya kiama masikini wa watu pamoja na dhiki zote ulizopata duniani unakutana na moto tena, kwa tajiri angalau duniani kaponda maraha.

Ona sasa wengine hatuna hata baiskeli wengine wamejenga meli kama nyumba iliyo ufukweni mwa bahari!
 
halafu tajiri siku ya mwisho anatupua anaenda kwa Mungu
 
piga ua mwisho ni mauti. binadamu alitoka ardhini akiwa uchi atarudi ardhini kwenye sanda
 
Tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni ngumu, ni sawa na Ngamia kupita katika tundu la sindano.
 
Abramovich's navy

Eclipse
20000.jpg
eclipse021.jpg

Ecstasea
Ecstasea-Most-Luxurious-Yachts.jpg

3268939422_b116e33371.jpg

Pelorus
pelorus_giant_antibes1.jpg

Roman%20Abramovich%20Yacht%20Pelorus-3.JPG

Le Grand Bleu
751.jpg

Sussurro
main_568x418.jpg

Kweli duniani kuna gap kubwa sana kati ya matajiri na masikini, halafu siku ya kiama masikini wa watu pamoja na dhiki zote ulizopata duniani unakutana na moto tena, kwa tajiri angalau duniani kaponda maraha.

Ona sasa wengine hatuna hata baiskeli wengine wamejenga meli kama nyumba iliyo ufukweni mwa bahari!

Na kwa taarifa yako masikini ndo mwenye dhambi kuliko TAJIRI, wakati masikini anafikiria namna ya kusema uwongo, kutamani mali za watu kulalamika wao wanfikiria namna ya ku expand their business empire

kazi kweli wkeli
 
halafu tajiri siku ya mwisho anatupua anaenda kwa Mungu

Tajiri kwenda mbinguni ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano! HAIWEZEKANI!

Nadhani ni asilimia 10 tu ya matajiri wanaweza kwenda mbinguni!
 
Sidhani kama utajiri au umaskini unaingiliana na imani.
Ni kama mtanzania anayenunua gari kama VX wakati kijiji kwao watu hawana uwezo wa baiskeli,mbona maskini wengi wanakihusisha na ushirikina.
Ni mambo ya talanta tu,na kuridhisha nafsi.
 
Sisi bado tunapambana na milo 3 kwa siku,pesa dawa tukiumwa malaria....ada za watoto kujenga kiberiti cha kujihifadhi(maana sio nyumba hata)....gap ni kubwa sana sana kati ya dunia ya 3 na standard yao ya maisha na huku kwetu kamkumbe ambao hatuchelewi kusema wajua wenzetu......kama marekani au canada hahahahhaa
 
kisa ni utajiri? si kweli hata kidogo.Nenda ukaisome vizuri hiyo misitari halafu umtafute askofu au mchungaji akutafisirie vizuri je ni nini maana ya Matajiri aliowasema Yesu? Je ni utajiri wa nyama au rohoni?
Kuna matajiri wengi tu wanaomcha Mungu vizuri sana, misada wanatoa, wanafanya mambo mengi tu yenye faida kwa jamii husika..je nao pia hawatakwenda Mbinguni?
Tajiri kwenda mbinguni ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano! HAIWEZEKANI!

Nadhani ni asilimia 10 tu ya matajiri wanaweza kwenda mbinguni!
 
Back
Top Bottom