joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,401
- 41,524
Wala huwezi kujua ni kwanini watu wanamkubali sanaSijui kwan sijawahi mkubaligi huyu jamaa
invest what you are willing to lose
[emoji23][emoji23][emoji23]Wala huwezi kujua ni kwanini watu wanamkubali sana
May be ni nyodo zako tu..Sijui kwan sijawahi mkubaligi huyu jamaa
invest what you are willing to lose
yani wewe ndo kama mimi aiseeSijui kwan sijawahi mkubaligi huyu jamaa
invest what you are willing to lose
Sure ngoma kali sana thou ina sound kama nitasubiri ki melody kwa mbaaali ila hata mimi nimewaza hili bifu la kiba na diamond linaua mziki mzuri maana hii ngoma kali kuliko ngoma zaoDah bonge moja la nyimbo, sometime hili beef la watu wawili (kiba na mondi) linatuharibia gemu watangazaji na radio nao wamekuwa mashabiki, mpaka nyimbo kama hizi zinakosa airtime
Sijui kwan sijawahi mkubaligi huyu jamaa
invest what you are willing to lose
Ngoja nami nifanye utafiti kwa nini pia simkubali!yani wewe ndo kama mimi aisee
Sijui kwan sijawahi mkubaligi huyu jamaa
invest what you are willing to lose
Ngoja nami nifanye utafiti kwa nini pia simkubali!yani wewe ndo kama mimi aisee
Hata siujui ayseee..Ngoja nami nifanye utafiti kwa nini pia simkubali!
Kuna demu mmoja huwa ananidediketia wimbo ule wa wivu, sijui ndo unaitwa hivyo!
YawezekanaMay be ni nyodo zako tu..