Hebu jaribu Hii linkUweke janvini mkubwa
Huu wimbo mpya wa Ruby basi anaweza akakubaliana na mimi kwamba
hii ni Diss ya waziwazi kwenda kwa Clouds,
Ikumbukwe kuwa Ruby na Clouds hawana maelewano mazuri tangu ilivyosemekana kwamba wametibuana kwenye mambo ya maslahi kwenye Tamasha la Fiesta.
OVA..!!
taalifa=taarifauweke kama umeamua kutupa taalifa
hebu jaribu kua msomi
sema bifu lilianzaje
ikawaje
na nyimbo inasemaje
tujue sio unatoa thread kama wewe ndo wataka kujuzwa
message senttaalifa=taarifa
Kama haujui kipi kinachoendelea basi ujue haya mambo hayakuhusu mwana,uweke kama umeamua kutupa taalifa
hebu jaribu kua msomi
sema bifu lilianzaje
ikawaje
na nyimbo inasemaje
tujue sio unatoa thread kama wewe ndo wataka kujuzwa
Amekurupuka kwa kiasi fulaniNimeisikiliza kiukweli nyimbo ni yakawaida sana huyu binti ilitakiwa ajinyenyekeze kwanza kama wenzake wakina maua sama baadaye akiwa amesha fahamika na kuwa na mashabiki wengi ndio achukue uamuzi mzito Kama aliouchukuwa!
Kama haujui kipi kinachoendelea basi ujue haya mambo hayakuhusu mwana,
Alafu kama unashindwa kujiongeza kwenda kuidownload basi endelea kusubiri utaletewa hapahapa JF
Sasa kama unakazi za kufanya si ukafanye? Sio lazima mpaka ujue kilakitu...ukiwa una leta thread hakikisha imekamilika
usifikili wote hatuna kazi tuanza kufuatilia sijui bdozen sijui rubii hebu kua kama msomi
usitake nitilie shaka elimu yako