New Song kutoka kwa Malaika - Haachi

New Song kutoka kwa Malaika - Haachi

Kanye2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
3,019
Reaction score
3,201
Malaika - Haachi.PNG

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu Kwa mara nyingine tena yule mwanadada mwenye sauti nyororo na ya kuvutia ameachia Jisong lake jipya linaloenda kwa jina la Haachi.

Kwa harakaharaka tu toka Rarua itoke ambayo ilikuwa ni moja ya Hit song ambayo ilikaa kwenye chati kwa miezi kadhaa, wapenzi wa muziki pamoja na mashabiki wake wengi walikua na hamu ya kusikia atakuja na kichupa gani kingine. Kama kawaida yake hajawahi kutuangusha hii nyimbo Mpya imesimama sana na nampongeza sana kwa kazi anayofanya.

 

Attachments

  • Cover.jpg
    Cover.jpg
    10.9 KB · Views: 47

Similar Discussions

Back
Top Bottom