New secretary.....................

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Two guys were discussing the new secretary at their office. John to George: "Man, I dated her last Tuesday and we had wonderful sex. She's a lot better in bed than my wife!"

Two days later. George to John: "Well, I dated her too and we had sex as well, but I still think your wife is better in bed!"

hapa mmh sipo
 
hapa ni kumpa za ki John Cena tu mpaka ajuwe siku alotahiriwa.
 
hahaha kwa mwanadamu mchungu eee

Ni mjinga tu anayeweza kusema mambo kama hayo juu ya mke wa mtu, tena mbele yake. Lolote litakalompata ni halali yake. Atakuwa anavuna matunda ya upumbavu wake!

NB: Hii hadithi umeitoa wapi na wewe au unatupatia good night?
 
FirstLady,

Huu utani ni wa mrengo wa mfume dume wa wale wanaoamini kwamba karani ni mtu wa kubanwa mbavu na mabosi tu.

Sikutegemea na wewe kama mwanamke uufurahie, uuchekee chekee, hasa ukizingatia kwamba maudhui yake ni kuhusu kuhalalisha wanaume wasio waaminifu kwenye ndoa zao.
 
hhahahaa habari za asubuhi ..mie mwenye secretary mheshimiwa . hapa duniani ukiwa unanuna ovyo utapunguza siku za kuishi
Utani haupunguzi pumzi ya maisha yangu ,hauondoi kipatao changu....... life goes on
 
Kama ameweza kupiga nje na akatangaza unategemea atakuwa na heshima?
Teheee wakati mwingine ujuzi wa mwenzako unategemea mapigo yako mwenyewe, kama kusugua huwezi usitegemee kukatiwa kiuno
 
hhahahaa habari za asubuhi ..mie mwenye secretary mheshimiwa . hapa duniani ukiwa unanuna ovyo utapunguza siku za kuishi
Utani haupunguzi pumzi ya maisha yangu ,hauondoi kipatao changu....... life goes on

Hivi mfumo dume maana yake hutakiwi kuwagusa wanawake??????????!!!!!!
 
FirstLady,

Huu utani ni wa mrengo wa mfume dume wa wale wanaoamini kwamba karani ni mtu wa kubanwa mbavu na mabosi tu.

Sikutegemea na wewe kama mwanamke uufurahie, uuchekee chekee, hasa ukizingatia kwamba maudhui yake ni kuhusu kuhalalisha wanaume wasio waaminifu kwenye ndoa zao.

mwenyewe upo serious wakti huu ni utani.........utakufa mapema wewe. Acha uanaharakati.
 
Vijana hii ni mega na wewe umegewe!!! Sasa kama unadandia wa nje kwa nini na wa kwako asidandiwe? Hakuna cha kurusha ngumi hapo. Mkuki kwa Nguruwe mtamu kwa binadamu ni mchungu!!! Wanaume/wanawake wote cheater na wanaume/wanawake waaminifu basi msiwasumbue waki-cheat!!! Tena akina mama wengi wana-cheat ndani ya ndoa au mahusiano yao kwa kutaka kulipiza kisasasi, japo sishangilii suala la kisasi lakini inauma sana unapohakikisha kuwa mwenzako ana-cheat!
 
hhahahaa habari za asubuhi ..mie mwenye secretary mheshimiwa . hapa duniani ukiwa unanuna ovyo utapunguza siku za kuishi
Utani haupunguzi pumzi ya maisha yangu ,hauondoi kipatao changu....... life goes on

Kama na wewe mwenyewe ni karani na unaona ni sawa kuwa na taswira ya kuwa godoro la bosi wako wewe una utashi mdogo, umekubali mfumo dume.

Haya ni matani na matusi ya wanaume, laiti ungeelewa Firstlady dada yangu.

Tunapojaribu kupigana na ujima huu tuna kazi mbili. Kumbadilisha mwanamme kwanza, aache ubeberu wa jinsia, na la pili, kumkamata kichwa mwanamke pia, aelewe, ajithamini, akatae mifumo inayomfanya kama kikombe au chombo cha kukingia mikojo ya mwanamme. Firstlady funika kikombe.
 
Back
Top Bottom