Samsung galaxy s4 mini mpya at 420,000….16 GB internal memory, fully boxed….( first class clone from korea)
tuwasiliane kwa namba 0715548177 kwajili ya biashara
ingia playstore download CPU Z. uone dhahiri kuwa INTERNAL MEMORY NI YA HIYO SIMU 1.2GB na sio hiyo gb 16 unayosema... S4 mini original juzi kati hapa nlikuwa naisafirisha kwa 320 sasa wewe clone unataka kuibia watu...
mwanangu nemeingia playstore na nika download CPU Z internal memory inasoma gb 14.2 na si GB 1.2 kama ulivyoandika hapo juu inaelekea yako ni mchina zaidi mani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.