New Release Diamond ft Mr. Flavor


Kanye hukooo.. Inaonekana kina kubana sana
 
Mi ni shabiki wa diamond sana ni bora hata nasema nawe ni mkali kuliko Nana mara milioni ila diamond huwa video hakosei ila nyimbo ni doroooooo
 
Wabongo bwana, inatakiwa Diamond na Kiba wawe tu washkaji, kiukweli Diamond yuko juu sn, huwez kumlinganisha na Kiba, sasa washabiki mnaoleta makundi ndo mnatuharibia sanaa za bongo, hawa jamaa inatakiwa wawe mabest, wapgane tafu kiaina, kwani Diamond akiwa No. 1 na Kiba No. 2 kuna shda gan? Ikiwa wote wanapga hela, na kuipaisha bongo kimataifa,? Acheni hizo anayejua kukuzd anajua tu, hata ufanyeje,its inborn, genetically u can't change it, atakuwa juu yako tuu!! Acheni hizo Kiba ongea na team yako wataku-lostisha!!
 
Kanye hukooo.. Inaonekana kina kubana sana

Jaribuu Sana kuheshimu mawazo yangu, halafuu usitaki niaminii kile unachokiaminii wewe, na usitake kunikandamizaa kwa maneno yakuudhi kwenye mawazo yangu,

Kama unaona kunasehem nimekoseaa jaribuu kunifafanulia kwa hoja za msingi zitakacho nivutia ili niweze kumkubali kama unavyotaka wewe.
 
Mastaa mbali mbali kwani wameimba si wametokea visekunde wanadansi tu.

Unataka waimbeeeeee then mtasema hakuna beats

Mwacheni atanue kama ya kawaida kwako kwa mTZ haya weeee uamuzi wako jipigie makofi.

Sawaa kama nikutanuaa tuu, kwa hilo nakubalii ngojaa nimuachee atanuee kwa kunieleweshaa
 

Sina muda mchafu wa kumshawishi hater... Kama kazi nzuri za diamond zimeshindwa kukushawishi sembuse mere words.. Hebu kanyeeee
 
Samboroooooo samboroooooooo samboroooooooooo baby oooooh nana baby ooh nana hahaha ukipenda weka ngolongoloooooo diamond sanaaaaaaa sema sanaaaaaaaa tuuuuuu
 
Dizaini kama kakusanya style za video zake za nyuma kaziweka kwenye kichupa kimoja kwa muonekano bora zaidi. Safi sana President ubunifu wa hali ya juu we jamaa next level sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…