New Post button

Kitia

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2006
Posts
418
Reaction score
80
Leo nimefungua ukurasa wa JF na kama kawaida yangu nikataka kutafuta posts mpya. Kwa bahati mbaya sikuiona button ya New Posts. Je mods mmeiondoa kwa makusudi au imepotea tu? Kama iliondolewa naomba irudishwe maana ndio inatuweka wengine uptodate.
 
We are all sailing in the same boat...Ni hivyo kila mahali.Sijui wameiondoa kimakosa, au ni hizi maintainance za weekends!
Vinginevyo inakuwa ngumu sana kuflow kwenye majukwaa yote, na inaboa kidogo!
 
Hakika tunahangaika sana. Mods turudishieni kile kitufe cha new posts. Asanteni
 
Hata mimi nimeikosa na inanilazimu kuflow kwenye jukwaa moja baada ya nyingine ambayo inaniwia vigumu kama kuna uwezekano naomba kile kitufe cha new post kirudishwe.Asante
 
Binafsi nilikuta hali hii kutokea jana lakini nikasema niwe msatahamilivu kwani hii site ni ya KITANZANIA now and than mambo kama haya kutokea si ya kushangaza ni mtu kuwa na subra tu (Wapishi wengi chakula ??)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…