New opportunity to Tanzanian | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New opportunity to Tanzanian

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by hbi, Mar 13, 2012.

 1. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri new opportunity kwa kuinvest kumbe kuajiriwa!!
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  dah, kweli kabisa

  hawa ni walewale, watata sana

  tujitahidi kujenga spirit ya kujiajiri na kufungua biashara zetu
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  sawa kabisa entrepreneur LAT.
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kusema kweli mimi binafsi huwa namu-admire sana kijana huyu Yusufu Manji, najuwa watu huwa wanamsema mambo mengi lakini ukweli unabaki pale pale kwamba binadamu huyu ana business acumen hisiyo ya kawaida ukulinganisha na umri wake.

  Watanzania tunapashwa kujifunza mengi kutoka kwa kijana huyu, ana uwezo wa hali ya juu kujuwa ni wapi atapata nyenzo (capital) za kuanzisha biashara zake, chukulia mfano wa kwenda kukopa fedha NSSF ambazo zilikuwa zinakaa bila ya kuzalisha kitu chochote cha maana, kakopa kajengea vitega uchumi vyake vya maana ambavyo kila mtu anaviona, na kusema kweli amebadirisha mandhali ya jiji letu, kwa hilo tunapashwa kumpongeza kusema ukweli.

  Kuingia kwake katika biashara ya mawasiliano ya simu, atafanikiwa sana kwa kuwa anajuwa ni kitu gani kinahitajika hapa kwetu, alafu ni muangaikaji na mtafiti sana, mimi ni mdau katika fani hii niliangalia mambo ambayo Technical Director wake alikuwa anayatolea ufafanuzi ndiyo nikajuwa kwamba Mr.Manji ni kichwa SANA.
   
 6. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Kama unahitaji opportunity kwa ajili ya kuinvest pia unaweza kupitita hapa
  Tabora na fursa za uwekezaji | Tesdo
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hakuna kitu kuna zaidi ya usemayo hapa!

  Kuna watu vichwa zaidi ya huyu bwana na wengine wakufana na plan zao kwenye makaratasi hatukuona wakipewa tena kwa kusumbuliwa mpa wakakata tamaa.............do you believe ni level playing field? Usiwaone kuwa watnzania wote ni mambumbu bana...........zitolewe furasa sawa hapa uone maajabu! tena waje tu hapa JF tutwapa vichwa vya kuigeuza Tanzania kuwa paradiso
   
 8. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kitu kizuri kwani sio watz wote wanaweza kuwa wajasiliamali wale wapenda kuajiriwa ni fursa kwao pia hata entrepreneurs wana nafasi ya ku-capture opportunities zitakazo tokana na kuanzishwa kwa mtandao huu.
   
Loading...