Life is so hard and injustice! Just look at this poor guy. It so sad…
Now, wait! What is this? He seems OK after all.
Yep, they're just fine, and have a healthy appetite too!
I'm not judging anybody. I mean, sure they could have and should have looked for a job or something like that, but it's easier this way, isn't it? What would you do?
Dotworld hii imenichekesha sana! Imenikumbusha kanisani zamani kuna Askofu mmoja aliwahi kukataza waumini kutoa sadaka za shilingi shilingi (coins) akidai kuwa zinapiga kelele na kumkera sana wakati wa utoaji wa sadaka.

mwaJ .. kwa hilo la Askofu ... pole sana ... kuna jamaa mmoja nae alishawahi kusema kitu kama hicho nikafikiri alikuwa anadanganya kumbe pia imeshawahi kutokea sehemu nyingine! .
Hapa Mwanza kuna mze m1 naye huwa ana vituko huyo.
Kuna muda unamkuta mtaa huu akiomba kama kipofu,
mtaa mwingine kiwete,
mtaa mwingine bubu,
mara kiziwi.
Ila watu wengi wamemshtukia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.