me1
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 367
- 422
Habari wanajamvi,natamani tuinue na kukuza mziki wetu.
Naomba tulitumie jukwaa hili kuwa impress wasanii wetu.
Hapa tutafanya nini na nini?
1.Tutajadili kila wimbo mpya utakaokuwa ukitolewa na msanii anaefahamika vyema.
2.Tutaujadili wimbo huo katika nyaja mbali mbali ikiwemo ufundi,mdundo n.k
3.Tutaijadili video ya wimbo husika bila unafiki.
3.Tutamjadili msanii husika kuona kwamba anakua au anashuka na level ya kazi yake ukilinganisha na zilizopita
4.Tutamshauri msanii pale ambapo utaona hapako sawa.(Bila kuangalia level na standard ya msanii)
5. Tutaujadili mziki wa bongo kiujumla na unakoelekea
6. Tutaongelea wadau wa mziki,media promoters na mashabiki kwenye huu mziki.
Nini hatutakiwi kufanya kwenye uzi huu?
1.Hapa lengo ni kujenga,hataruhusiwa mtu yeyote anayeleta hoja zenye mahaba na msanii fulani bila facts.
2.Hakuna team,tunaongelea mziki wetu kama Afrika mashariki.Hizo team peleka huko kwenye thread husika
3. Hakikisha mziki unaujua vizuri.
Chakufanya ni ukipata kuskia msanii fulani katoa wimbo mpya njoo weka taarifa,wadau wataanza kuchangia.
Karibu tukuze mziki wetu.....Hope will help some.