ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Nimejifunza Mkuu! Kibena kimeniathiri vibaya teh teh teh nitaacha!Haya m'bena ushajifunza sasa usirudie kosa tena eeenh!!.
Nimejifunza Mkuu! Kibena kimeniathiri vibaya teh teh teh nitaacha!Haya m'bena ushajifunza sasa usirudie kosa tena eeenh!!.
Hzi zitakua ndio zile zinavujaga hua hazijakamilika.Hii ngoma ni nzuri kupitiliza,ila producer hakuichuja vizuri ama sjui nini. ubora wa production uko chini
Idea ya nani?Hii nyimbo km kacopy idea kwa mtu tena melody ni zilezile mmh hapa kabugi bana
upo sahihi mkuuHzi zitakua ndio zile zinavujaga hua hazijakamilika.
Nakukumbuka bonge la ngoma..kumbe ulivuja😕😕Japo wimbo sio official release(leak) but kama kawa simba huwa hakoseagi kwenye mawindo yake!
Kuna mdau Sirdirashy amesema ni idea ya mtu,ni kweli ila ni idea yake mwenyw platnumz kuna wimbo aliimba kama hivi kwa mbaali japo nao ulivuja tu,unaitwa NAKUKUMBUKA,ukiuckiliza huo nakukumbuka haujaachana mbali na huu HELLOW
ndio mkuu,ule wimbo ni matata ila nao ulivuja that is why ukiuckiliza vizur kama mixing zake hazijakolea flani ivi...c unajia huyu dogo ana ghala la ngoma so nyengne huwa zinaponyoka,halafu wala hajali kabisa,anaendelea na ratiba zake km kawaida.Nakukumbuka bonge la ngoma..kumbe ulivuja😕😕
AdeleIdea ya nani?
Hahahahahaha,
Mbavu zangu mie.
Huu wizi wa mlimani city hujausika kweli???Bado sijaipenda, maneno hayasikiki, mdundo kwa sana.
Mkuu hujui mi nimeokoka siku izi?!Huu wizi wa mlimani city hujausika kweli???
Hizi avatar zinatusaidia sana ktk upepelezi
Mkuu lakini jamaa awe makini na hizi ngoma anavoziachia tu kiivi .Hii mashine angeitaarisha vizuri na kuitoa with official video aloo mfano wake ingekuwa hakuna.ndio mkuu,ule wimbo ni matata ila nao ulivuja that is why ukiuckiliza vizur kama mixing zake hazijakolea flani ivi...c unajia huyu dogo ana ghala la ngoma so nyengne huwa zinaponyoka,halafu wala hajali kabisa,anaendelea na ratiba zake km kawaida.