PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,849
- 23,415
Hii nyimbo km kacopy idea kwa mtu tena melody ni zilezile mmh hapa kabugi bana
Ndio, kaiba idea kwa Ali Kiba, mi nilijua tu
Hii nyimbo km kacopy idea kwa mtu tena melody ni zilezile mmh hapa kabugi bana
unachokisema ni kweli mkuu,mpaka christian bella aliwahi kulalamika hasa alipoutupa wimbo wa UKIMWONA,alisema ni wimbo mkubwa sana na alishangaa kwnn jamaa(dai)hakuufanya kuwa official,ndo mana yeye akaamua kuufanyia remix!so nahc jamaa anajiamini sana ndo maana.Mkuu lakini jamaa awe makini na hizi ngoma anavoziachia tu kiivi .Hii mashine angeitaarisha vizuri na kuitoa with official video aloo mfano wake ingekuwa hakuna.
mkuu kwani umeambiwa huo wimbo ni official release mpk ubume?hii ngoma imevuja/vujishwa ama kwa bahati mbaya au makusudi...na ndo maana kiufundi kuna mambo hayajakamilika humo.Hii itabuma