NEW MISS TANZANIA 2018 SPECIAL THREAD

Lakini pia watanzania tuna tatizo la kujielezea. Ndo maana mamiss wetu wanakuaga wazuri wakifika huko mbele uoga unawaangusha
Ila hata kamati zilikuwa hazipo serious maana kuna wasichana wenye uwezo mkubwa sana lakini kwa taswira iliyojengeka kwa hili shindano inakuwa ngumu kushiriki, watengeneze jina kwanza ili wanaostahili waanze kushiriki..

Ila kwa kuwa kapewa mwanamke labda watakuwa serious this time
 
Washindi wa Miss Mbeya

 
Na akifanikiwa kufanya tofauti mwaka huu shindano litarudi kwenye chati kama zamani. Lungenda alizingua sana. Watoto wa watu walikua wanakutana na msururu wa wanaoume wanaotaka kuwala mpaka ushinde lazima utoe mchezo
 
Sheeenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba uliniambia umeacha ufisi lakini

Mchumba natania tu, unajua mbwembwe za nyuma ya keyboard.

Ila si haba, mtu akijipendekeza nitakuomba ushauri.
 
Washindi wa Miss Mwanza 2018


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…