[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miss Rukwa anastahili taji la miss Tz mwaka huu.
Kila kitu kiko byeeeee. Labda huku kwenye ngazi za chini ila taifa wanasubiri siku tukama mnahitaji sponsors wa uhakika.. mtafuteni ruge mutahaba ila mjiandae kugawana nae mapato.. mkijifanya mnafanya wenyewe mtakosa hata hela ya zawadi ndogo kama kile kigari chenye matangazo kama bango.. kilichozua zengwe kwa lundenga
Kila kitu kiko byeeeee. Labda huku kwenye ngazi za chini ila taifa wanasubiri siku tu
Naona wamejipanga kwa sasa.....kama mnahitaji sponsors wa uhakika.. mtafuteni ruge mutahaba ila mjiandae kugawana nae mapato.. mkijifanya mnafanya wenyewe mtakosa hata hela ya zawadi ndogo kama kile kigari chenye matangazo kama bango.. kilichozua zengwe kwa lundenga
Lundenga alishatoka mbona?? Yako chini ya Basilla Mwanukuzi sasa hiviokay kama ruge anahusika.. mjiandae kwa event kalii.. ila kama lundenga mjiandae kuaibika
Lundenga alishatoka mbona?? Yako chini ya Basilla Mwanukuzi sasa hivi
Wakuu, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi.....Miss Rukwa anastahili taji la miss Tz mwaka huu.
Wazuri
Sio kweli. Siku Ruge akiwa hayupo nani atasaka sponsor? Tumpe nafasi mwaka huu Basilla tuone alichotuandalia halafu tuseme sasa kama ana uwezo au hanabasla hana uwezo wa burudani na ujanja wa kusaka sponsors kumzidi ruge.