Sent From Heaven
Member
- Nov 9, 2017
- 34
- 32
- Thread starter
- #21
HahahaaHeaven Sent kuna mtu ame-plagiarize jina lako huku!
HahahaaHeaven Sent kuna mtu ame-plagiarize jina lako huku!
Amen... PM moja kwa moja!uuuh I'm waiting for your testimonies darling; na huo ni mwanzo tu
Asante sana mkuu nafarijika kuskia hivo...nadhani mbali ya majina hata wasifu wetu waeza shabihianaKuna mtu humu ana roho kama Malaika, mwingi wa busara na mcheshi pia. Majina yenu yanafanana ila lako limenyumbuliwa zaidi. Anaitwa Heaven Sent
Bila shaka nawe utakuwa na mfanano wa jina lako.
Karibu Jukwaani Mkuu.
Hahaa 900 itapendeza zaid800 itapendeza
Aww name-sake!jamani nilikuwa sijamuona ndugu yangu
Name sake, jinsia yako tafadhaliAww name-sake!
FemaleName sake, jinsia yako tafadhali
Ooh karibu sanaFemale
Asante, nimekaribiaOoh karibu sana
Asante mkuuKaribu sana JF.............
950 itapendeza zaidi800 itapendeza