Wewe kupitia sisi utakuwa platinum bila hata ya kuchukua hivyo vigezoHaha masharti ya kuwa Platinum
~ Good reputation
~ Strong engagement
~ Must donate (nasikia 500k/year)
Cc: Vincenzo Jr π
Lol, she is kid ila kamechangamka... Karibu mjukuuSawa.
Karibu mgeni jisikie uko nyumbaniAlmost 5months since joining, JF is exceptional & phenominal!
Chumbani kwa nani tena jiraniππNimekaribia najisikia niko chumbani π
Aaah! Nilishtuka sanaππKuna chumba kina mafaili ya wanaJF ndio napitiapitia hapa!
π
Nilijua nimevamiwaππPole sana, ukajua ni nini π³
Unataka kunitekaπππ hahah, hapana napitia faili lako nijue unaishi wapi π
Majirani zangu kama wewe haoππHapana nikuteke una hela au basi! halafu naona hapa una mabwana kibao au nimechanganya mafaili!
π