kwa taarifa za waja yupo mwingine ila sina taarifa rasmi!.
Hana mtoto hajawahi kuzaa hapo kabla huyo ndio mtoto wake wa kwanza
Aliyezaa ni dada yake mtoto wa kiume na sahv ni kakubwa hivi, ila huyo dada yake yupo kama tausi isipokua dada ake kamzidi urefu tausi kidogo sana ila wanakaribiana
Dada ake anaitwa tumaini
View attachment 1317520View attachment 1317521View attachment 1317522View attachment 1317520
Sio kitambi, utapia mloMbona ana kitambi
Mbona ameshajifungua mtoto wa Kike,Hongera zake kwa kweli Mungu ni wetu sote.Eeh Mungu nisamehe kwa maneno yangu haya, ila huyu akiingia leba probability ni 20% kwa 80%. Mungu amjalie ajifungue salama lakini............!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ameshajifungua mtoto wa Kike,Hongera zake kwa kweli Mungu ni wetu sote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huyo kaka ndo mhusika wa kuchakata kiumbe kipyaTAbu Sana
Kujiweka Hivyo Ndiyo Tumuone Mpya
Ndiyo Mchakataji MwenyeweKwahiyo huyo kaka ndo mhusika wa kuchakata kiumbe kipya
Kigezo gani umetumia kusema hivyo?Eeh Mungu nisamehe kwa maneno yangu haya, ila huyu akiingia leba probability ni 20% kwa 80%. Mungu amjalie ajifungue salama lakini............!
Sent using Jamii Forums mobile app
Keshajifungua ..siku mbili au tatu zilizopitaEeh Mungu nisamehe kwa maneno yangu haya, ila huyu akiingia leba probability ni 20% kwa 80%. Mungu amjalie ajifungue salama lakini............!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kajifungua kwa op Au normal birth