New joint in Town

Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
769
446
Kiwanja kipya na cha kijanja ASTORIA Bar & Grill,chafunguliwa ndani ya mji unao kuwa kwa kasi Mafinga Town ndani ya mkoa wa iringa,fika ujipatie huduma zilizo enda shule kuanzia saa 12.00 Asubuhi hadi Saa 12.00 Asubuhi kwa kifupi huduma ni 24hrs,kiwanja kinapatikana ilipo kuwa Aficabanna,kwa mawasiliano piga simu namba 0717903080.
IMG-20170304-WA0013.jpg
 
utawakta huu ukitaka presha fungua sehemu za starehe,hiyo hela jamaa angefanyia kitu kingine soon hilo jengo linageuzwa kanisa au msikiti
 
Mafinga ni mji ambao una ma bilionea wengi ,na wengi wao ni watu ambao wamejiajori,kwahiyo pesa sio kitu kwao,Tatizo ni wapi pa kuzitumia.
 
utawakta huu ukitaka presha fungua sehemu za starehe,hiyo hela jamaa angefanyia kitu kingine soon hilo jengo linageuzwa kanisa au msikiti
Kuna sehemu nyingi tu za starehe zimefunguliwa na zinafanya vizuri. Competition kubwa ukifungua kitu hakina viwango kinakudodea then utalaumu utawala. Wabongo wamefunguka wanataka vitu quality sio ili mradi tu.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom