Bila shaka hili ndo toleo latest 23.001.07.29.910 kwa modem za Huawei kwa wale ambao hamjaipata hii. Mimi nime-upgrade kwenye Huawei E303 pia nmereplace ile ya mwanzo iliyo kwenye modem na kuweka hii mpya so nimefanya firmware update kabisa kupata uhakika hata nikiinstall kwenye PC nyingine bado naendelea kupata burudani.
-- Inamuonekano mzuri
-- Theme yake unaweza kuicustomize kwa kuweka picha uitakayo
-- Unaweza kulimit data usage kama una bundle za wasiwasi na unahofia labda utakatwa hela
-- Unaweza kutengeneza Wi-Fi hostpot na kusupply wireless internet(Beta)
--
--
--Sometimes inaniboa kwani kustart mpaka ipitie kwenye UAC
--Inachukua muda kidogo kuload
Jinsi ya kuipata:
--Mimi nilicheck updates kupitia kwenye dashboard nkapata na ika-upgrade automatically
--Kufanya upgrade manually (ntaupload hiyo setup badae kidogo bado nai-compile)
Some screenshots:
na hii
Enjoy....
UPDATE: Jinsi ya kuiweka firmware kwenye modem permanently ili usiipoteze
Note: Nimefanya hii kwenye Huawei E303. Firmware hii haiko compatible na modem za E2XX
Si husiki kwa njia yoyote kama modem yako itaharibika (Do it your own risk)
STEP 1: Download setup HAPA
STEP 2: Hakikisha modem yako iko installed
STEP 3: Lakini hakikisha Mobile Partner imefungwa
STEP 4: Fungua faili ulilidownload halafu fuata maelekezo kwa makini
STEP 5: Ikimaliza kuupgrade chomoa modem yako halafu uchomeke tena then fanya installation upya
STEP 6: ENJOY