UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 509
nimepata maswali meeengi kuhusu hii huawei y530 basi nimeona nishee nanyi machache ambayo nimeyagundua kwaa siku chache ambazo nimekuwa ninaitumia
kwanza kabisa hii ni model ya y530-u00(custom rom tigo tz) maana zipo zenye firmware tofauti. simu hii imekuwa locked bootloader na pia imekuwa locked network, pia ni unrooted. hapa ntaelekeza jinsi ya kuondoa hizo restrictions tatu
jinsi ya ku unlock bootloader
unlock code za bootloader unazipata baada ya kuwatumia email huawei ukiwaomba wakutumie unlock codes za bootloader
watakujibu baada ya muda mfupi. ukishazipata chomeka simu yako kwenye pc na tumia adb / fastboot ku unlock nimeambatanisha hapa ili kurahisisha . hakikisha ume install driver za simu yako (zimo kwenye simu) na iko detected na HiSuite(application ya simu za huawei kwenye pc)
kuroot
tumia towelroot download hapa inafanya kazi vyema sana. ukishairoot install supersu na any root file manager of your choice nnayoipenda mie ni root explorer sasa hapo unaweza kuondoa mafaili usiyoyataka kama ya google(hangouts, chrome na mengine) haya utayapata kwenye folder la root/system/app pia unaweza ondoa mengine kwenye root/data/app
hii itasaidia kuondoa mafaili au system app zilizowekwa na tigo hivyo kujaza nafasi
ku unlock network
ili simu yako ya tigo itumie mitandao yote sijui njia ya kufanya mwenyewe ila kuna jamaa alinisaidia ku unlock network kwa sh.10,000 tu
custom rom
custom rom inategemea na custom recovery kupatikana ambayo mpaka sasa sio twrp wala cwm wametoa, nadhani ikitoka custom recovery kutakuwa na custom rom nyingi tu
mpaka sasa hakuna ugunduzi mwingi kuhusu hii simu ila kama watu wengine wamegundua mengine kuhusu simu hii basi wanaweza weka hapa chini

Code:
[COLOR=#454545][FONT=Hind]email kwenda: [/FONT][/COLOR][FONT=arial]mobile@huawei.com
[/FONT][COLOR=#454545][FONT=Hind]subject: bootloader unlock code request
body:
Serial Number: xxxxxxxxxx hii utaiona ukifungua simu nyuma ya betri[/FONT][/COLOR]
[COLOR=#454545][FONT=Hind]IMEI: xxxxxxxxxxxxxx[/FONT][/COLOR]
[COLOR=#454545][FONT=Hind]Product ID: 22xxxx20[/FONT][/COLOR]
[COLOR=#454545][FONT=Hind]Model: [COLOR=#222222]HUAWEI[/COLOR] Y530-U00[/FONT][/COLOR]